Baada ya mwanadada Zari the boss lady kujifungua mtoto wa pili "Riaz junior"
Baadhi ya mashabiki walikuwa wakiingia kwenye page ya instagram ya Wema
Sepetu wakimtolea maneno makali kuwa aendelee kupost picha za watoto wa
watu wakati wenzake wanazaa.
Baada ya mwanadada Wema Sepetu kukosa uvumilivu, aliamua na yeye kujibu mapigo usiku wa leo katika account yake ya instagram.
0 comments:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.