Kulingana na jinsi watu walivyopokea wimbo mpya wa darasa 'muziki'
katika maeneo mbali mbali nchini, wimbo wa Diamond wa 'Salome' umekufa
kifo cha mende..yani hausikiki tena...
Yani kila mahali ni wimbo wa darasa tuuu, ila wa Diamond hausikiki tena...
Hakika darasa 'hupendagi ujinga', naona umeamua kumsomesha namba
anayejiita Simba, na hii yote ni sababu ya kuanza kuimba 'matusi
tu'...sifa za kijinga..ndio zinamponza..
Nakupa pongezi sana k
Wednesday, December 7, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment