Ngogwe au nyanya chungu ni mboga abayo inafahamika sana miongoni mwetu na baadhi yetu tumekuwa tukiitumia katika mlo.
Leo nimeona nikuletee hizi faida mbili za matumizi ya nyanya chungu.
Ngogwe au nyanya chungu husaidia sana katika kuongeza nguvu za uzazi kwa wanaume na inatibu pia wale wenye ugonjwa wa ngiri.
Mbali na sifa hiyo ya ngogwe / nyanya chungu pia husaidia kuongeza
stamina na uwezo wa kuvumilia na kudumu kwenye tendo la ndoa kwa muda
mrefu kati ya mume na mke wote endapo watakuwa wanatumia nyanya chungu
katika utaratibu unaotakiwa kitaalam (mchemsho) .
Mbali na hayo, ngogwe ni dawa inayofanana na antibiotic, hivyo ni tunda
zuri endapo likitumiwa mara kwa mara husaidia kuua vijidudu vya aina
mbalimbali mwilini.
Tuesday, July 19, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment