» TCU » Tume ya Vyuo Vikuu(TCU) yatoa Ufafanuzi Kuhusu Alama za Kudahiliwa Vyuoni
TCU wamefanya marekebisho kuhusu tangazo lao la hapo awali kwa kusema
uwe na principal pass mbili walau zifikie point 4 kwenye masomo mawili.
Ina maana at least uwe na DD,CE,BE,AE na zaidi ya hapo.
0 comments:
Post a Comment