Diamond Platnumz anasherehekea mafanikio ya video ya wimbo wake mpya, Kidogo.
Ndani ya siku nne, video ya wimbo huo aliowashirikisha P-Square
imefikisha views zaidi ya milioni moja kwenye mtandao wa Youtube. Staa
huyo hakusita kusherehekea hatua hiyo na mashabiki wake:
Ameandika Haya:
Diamondplatnumz
AND THE AFRICAN HISTORY WAS MADE!!!!!! 1Million + VIEWES WITHIN 4
DAYS!!!!! #KIDOGO by @DiamondPlatnumz ft P-SQUARE ....many thanks to my
brothers @peterpsquare @rudeboypsquare ...Media /Fans and all Behind
this Project....🙏
(Nawashukuru wote mloniwezesha kuweka Historia hii kubwa Africa ya video
kutazamwa zaidi ya mara Milioni 1 ndani ya siku nne, hakikia huu ni
upendo wa Mkubwa na wa Dhati, shukran sana sana kwa wote walio Husika na
Project hii bila kuwasahau Media na Nyinyi mashabiki zangu pendwa kwa
kuupokea kwa kishindo Wimbo huu!!!.... waambie Malalamiko Baadae kwa
sasa tuna cheza #KIDOGO ) Clik the link in my BIO to watch full
VIDEO!!!!
Home
»
Burudani
» » Diamond Platnumz » Diamond Asherehekea Video ya Kidogo Kufikisha Views Milioni 1 Ndani ya Siku 4
Sunday, July 17, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment