Nuh Mziwanda Asema Hawezi Kuingilia Bifu la Shilole na Video Queen wa Video ya ‘Jike Shupa’Muimbaji huyo ambaye kwa sasa yupo chini ya label ya ‘LFLG’, ameiambia
Clouds FM kuwa kwa sasa hawezi kuingilia ugomvi usiyomuhusu.
“Wale ni wanawake kwa hiyo zile ni tofauti zao, siwezi kuingilia na
siwezi kuongea chochote, yule demu mimi nilimlipa pesa yake ya video
akafanya, kazi yangu kamaliza masuala yake yanayoendelea kimpango wake,”
alisema Nuh.
Aliongeza, “Kwa hiyo siwezi kuingilia na wala sitaki kufuatilia na wala
sitaki kujua kwa sababu nimeshamalizana nae. Yale ni maisha yake binafsi
siwezi kuingilia,”
Shilole na video queen wa video ya ‘Jike Shupa’ wamekuwa wakitupia vijembe katika mitandao ya kijamii.
Home
»
»Unlabelled
» Jike Shupa » Nuhu Mziwanda » Udaku Spesho » Nuh Mziwanda Asema Hawezi Kuingilia Bifu la Shilole na Video Queen wa Video ya ‘Jike Shupa’#kupata habari zaidi bofya link hii hapa>>>>>
Thursday, July 7, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment