August 11 2016 staa wa muziki wa bongo flava Dully Sykes aliachia video
ya mdundo mpya unaoitwa ‘Inde‘ ambao ndani yake alimshirikisha staa
kutokea laber ya WCB Harmonize ambapo katika baadhi ya comments za
mashabiki zilionyesha kumwelekea Harmonize wakidai kuwa kamcopy boss
wake Diamond katika style za kucheza pamoja na uvaaji wake.
Sasa leo August 13 2016 Harmonize kupitia account yake ya instagram kaamua kufunguka ya moyoni na kusema
’Mhhh copy! copy! copy!….. mwisho wa siku hata ukinya utaambiwa kunya
kama wewe usimcopy Diamond ebwana mzee #simbaavideo ijayo wacha nianze
kuvaa Dera maana nguo zote ushazivaa
0 comments:
Post a Comment