Asee sikuwahi kudhani kwamba kuna wanawake wenye kipaji cha comedy
nimeona kwa Katarina yaani huyu Dada ni shidaa kila nikiangalia vipande
vyake vya video nacheka mbavu sina. Alafu cha ajabu haendani na comedy
kabisa, ukimuona mtoto mrembo kabisa aisee
0 comments:
Post a Comment