MCHEKESHAJI wa kundi la Orijino Komedi, Emmanuel Mgaya ‘Masanja
Mkandamizaji’, Jana ameuaga ukapera kwa kufunga ndoa na mchumba wake wa
muda mrefu aitwaye Monica.
Ndoa hiyo imefungwa katika Kanisa la Mito ya Baraka lililopo Jangwani jijini Dar es Salaam.
Miongoni mwa wageni waliohudhuria harusi huyo ni pamoja na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Dk. Tulia Ackson.
Monday, August 15, 2016
Related Posts
MATUMAINI Mapya Kwa Farid Mussa Safari Ya Hispania, Aanza Maandalizi Tena
08 December 2016jimmy lusekelo0ZARI Athibitisha Yeye na Mama Mkwe Wake Bado Zinaiva
08 December 2016jimmy lusekelo0UKWELI Mchungu: Wimbo wa Darasa 'Muziki' Wafunika wa Diamond 'Salome'
07 December 2016jimmy lusekelo0MZIKI ya Darassa ilivyogeuka Wimbo wa Taifa Ndani ya Wiki Moja
06 December 2016jimmy lusekelo0
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.