Wednesday, August 10, 2016

10:06 AM
Muigizaji wa filamu Bongo, Jada amepoteza kumbukumbu baada ya kupata ajali ya kujigonga ukutani akiwa location.

Taarifa hiyo imetolewa na muongozaji wa filamu aliyokuwa anashoot, Leah Richard Mwendamseka maarufu kama Lamata kupitia kipindi cha Magic Style cha CG FM ya Tabora.

Leah amesema Jada anaendelea na matibabu ya kumsaidia kurudisha kumbukumbu zake zote. Amedai kuwa tatizo hilo lilitokea baada ya wiki tatu akiwa ameshamaliza kushoot filamu hiyo na kwamba mashabiki wamuombee

0 comments:

Post a Comment