Series ya sinema ya Mr Blue na Barakah Da Prince inayomhusu Naj imeendelea, ni zamu ya hitmaker wa Siwezi kuongea.
Akiongea na 255 ya Clouds FM Alhamisi hii, Barakah da Prince amesema
kuwa hajawahi kuongea kuhusu Blue kumpigia simu Naj na kwamba ni kitu
kipya kwake.
“Namuona kabisa yule mwana anataka kukosa heshima, ananikosea heshima
halafu anashindwa kurespond heshima ambayo mimi huwaga nampa. Kwahiyo
anapotaka twende sasa tutafika huko anapotaka yeye,” amesema muimbaji
huyo
Friday, August 26, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment