Leo nina swali dogo tu
kwa ladies. Assume una wanaume wawili mmoja ni mzee wa kupetipeti, yaani
utabembelezwa, maneno matamu yakukufanya ujihisi wewe mzuri kuliko
malkia cleopatra, utapewa kila ukitakacho mtoto wa kike, utasikilizwa,
utaheshimiwa, utaachiwa uhuru nk. Lakini mkiingia uwanjana jamaa
anaishia kukupakaza jasho tu, in short jamaaa ni lazy sana kwa bed.
Lakini Kwa upande mwingine una jemba nyingine ambayo kupetipeti
kumeipitia kushoto kubembeleza hajui, bahiri, maneno matamu hana. Ila
ukija kwa bed anapiga mzigo balaaaa, unahisi utamu mpaka mboni ya jicho
inavibrate.
Sasa inafikia wakati
inabidi ubaki na mmoja tu. Kwa wewe mdada ungempa kibuti nani na kumpa
shavu nani? Kati ya jamaaa hizi mbili
Monday, August 29, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment