Mrembo wa Kenya, Vera Sidika amejibu swali la ni nyimbo za msanii yupi anazozisikiliza zaidi kati ya Diamond na Alikiba.
“Mimi namsikiliza Diamond,” anasema Vera. “Style yake tofauti kisha
nzuri, kisha naona kuwa amejikakamua anatoa hits after hits hatulii,
yeye hutia bidii kila siku. Halafu pia si muziki peke yake, ameweza
kusaidia vijana kuwapatia nafasi ya ku-explore talent zao, kama sasa
hivi yuko na artists ambao wako chini yake which is a good thing,”
ameongeza.
Vera amedai pia kuwa anampenda Diamond kwasababu ni baba mzuri na anayetimiza majukumu yake.
Friday, August 12, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment