Jumuia ya Taasisi za
Mikopo ya Elimu ya Juu Afrika (AAHEFA) imeishauri Bodi ya Mikopo
Tanzania (HESLB) kutumia mfumo wa smartcard ili kukabiliana na
changamoto ya ukusanyaji wa mikopo inayotolewa kwa wanafunzi.
Rais wa Jumuia hiyo,
Charles Ringera alisema katuka mfumo huo hutolewa kadi ambayo
huunganishwa mawasiliano ya mkopaji na hati yake ya kusafiria ili
kuiwezesha HESLB kujua taarifa sahihi za mhitimu pindi itakapohitaji
kurejeshewa mkopo.
Home
»
»Unlabelled
» Seebait.com 2016SeeBait Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu Kutumia Mbinu Hii Kuwasaka Wakopaji
Monday, August 29, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment