Jamani wanaume wa kizazi hiki cha nyoka sjui mpoje, mkianza mahusiano na
mtu mkapeana namba utasikia "bby una watsup" Imo n.k ili uanze kudai
picha za uchi na kufanya video calls.Kiukweli wadada wengi tumestukia
hilo, na tunapinga vikali no video calls, no sex pictures at all.
Kama hutaki sauti pita hivii!Kingine msitupangie matumizi ya simu zetu,
hujainunua wewe sa kiherehere cha nini, kila saa umenuna"bby simu ipo
busy kila saa" haikuhusu!Nunua yako nipe kisha nipangie wakuchati nao.
Picha za uchi BIG NO, USINITUMIE WALA SIKU TUMII. TUKIPANGA MIADI YA
KUKUTANA NITAANDAA SEHEMU MIMI NA SIO WEWE, POTELEA MBALI KULIKO
UKAFUNGE MI KAMERA ILI UNIREKODI.
KINYWAJI NI JUICE TU, POMBE SITAKII
Monday, August 8, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment