Diamond Platnumz ana miaka mingi ya kuvuna mapesa kutokana na show zake.
Kutoka kwenye mapokezi yaliyovunja rekodi, Meru nchini Kenya hadi
kuangusha show iliyohudhuriwa na makumi kwa maelfu ya mashabiki wenye
kiu, staa huyo ameendelea kujiweka kwenye ligi yake mwenyewe.
Ilikuwa ni show ya mtu mmoja na kwa picha alizoweka kwenye page yake ya
Instagram, inaonesha jamaa alihama na kijiji. Tazama picha hapo chini.
Monday, August 29, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment