Iliwahi kuvuma kuwa anatoka kimapenzi na msanii Baraka Da Prince, lakini
muigizaji asiyeisha vituko Nisha anasema hizo ni fununu tu, ambazo
hazina ukweli wowote ndani yake. “Sijawahi kutoka na huyo mtu na
haitakuja kutokea, tena siyo yeye tu bali sina mpango wa kutoka na
msanii yeyote hapa Bongo,” anasema kwa kujiamini Nisha.
Una neno gani kwake?
Home
»
»Unlabelled
» Nisha:Sijawahi Kutembea Kimapenzi na Baraka Da Price na Wala Sintawahi Kutoka na Staa Yoyote Hapa Bongo
Sunday, August 14, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment