Udaku Picha za Zari Hassan Akijiachia Kuonyesha Ujauzito Wake 4:53 AM jimmy lusekelo Mpenzi wa Diamond Platnumz, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ akijiachia kuonyesha mimba yake, wanatarajia kupata mtoto wa pili na mpenzi wake mkali wa wimbo ‘Kidogo’, Diamond Platnumz
0 comments:
Post a Comment