Waswahili wanasema ushemeji haufagi.. lakini staa wa Singeli, Man Fongo
aliongezea zaidi kwa kusema ‘hakunaga ushemeji tunakulaga.’
Na sasa msemo huo maarufu umepigiwa chapuo na roho ya Diamond, Mama T mwenyewe, Zari.
Akipost picha ya ex wake, Ivan aliyezaa naye watoto watatu akiwa na
mdogo wake, Zulekha Ijumaa iliyopita, Zari aliandika: It’s flash back
Friday akuna ushemeji tunakulaga #ZariAllWhiteParty plse correct my
Swahili.”
Je! hiyo inamaanisha kuwa Zari amempa ruksa Ivan kujilia shemeji yake akitaka?
Picha hiyo hata hivyo, imeonesha kuwa hakuna uadui wowote uliopo sasa
kati ya Zari na Ivan hasa kwakuwa bado watoto wao wanawaangunisha na
wameendelea kumiliki baadhi ya biashara zao pamoja.
Home
»
Udaku
» Seebait.com 2016SeeBait Hutaamini Alichosema Zari Kuhusu Ex Wake Pamoja na Mdogo wake Zulekha
Wednesday, August 31, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment