Baada ya miezi kadhaa ya kutoelewana na kusababisha kuvunjika kwa kundi
la P-Square sasa, Peter na Paul Okoye wameanza kurekodi kazi mpya.
Mwezi Julai mwaka huu member wa kundi hilo Peter Okoye aliandika ujumbe kwenye Instagram akiwaomba msamaha mashabiki wao kwa kuvunjika kwa kundi hilo lakini aliwaahidi kuwa P-Square linarudi tena na alitangaza kumrejesha kaka yao, Jude Okoye kama meneja wao.
Kupitia akaunti ya Instagram, Peter ameandika ujumbe unaoonyesha kuwa kuna kitu kipya anarekodi studio na ndugu yake Paul.
Kurudi upya kwa kundi hilo ni ndoto ya kila shabiki wa muziki Afrika kutokana na heshima kubwa waliojitengenezea kipindi walipokuwa pamoja. Muda ndio utaongea tusubiri tuone

Something new Cooking in da kitchen and about to come out! From us! You already know it’s P2 baby!!! #KoolestDudes
Kurudi upya kwa kundi hilo ni ndoto ya kila shabiki wa muziki Afrika kutokana na heshima kubwa waliojitengenezea kipindi walipokuwa pamoja. Muda ndio utaongea tusubiri tuone
0 comments:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.