Yule Mwana Dar es Salaam, Kingkiba, Balozi wa wanyama, Msanii pekee
aliyetoboa Kimataifa bila Collabo, Kiboko ya Wizkid, Fundi na Master wa
game ya mziki wa Africa "Alikiba" ambaye kwa sasa ndiyo msanii
anayeongoza Kulipwa fedha nyingi kwenye Show kuliko msanii yeyote Yule
East Africa.
Mwezi September kwenda kushusha Laana 5 takatifu kupitia nyimbo mpya
atakazoenda kuachia 2 zake binafsi na 3 alizoshirikishwa na wasanii wa
ndani na nje ya nchi,
Wajuzi na watafiti wa duru za Burudani Africa Mashariki, Wanabashiri
kuwa huenda ikawa ndiyo mwanzo na mwisho wa kufunga rasmi nyufa za mziki
wa bongoflava ambazo zimekuwepo kwa miaka mingi, Ambapo kwa sasa
wasanii wengi wamevamia game na kukop mziki wa Nigeria bila kuzingatia
misingi ya mziki wetu wa asili, Mbaya zaidi na wengine kufika mbali
kutumia kiki za kihafidhina na kununua tuzo ili kupush mziki wao
unaosuasua.
Note:
Kila atakayesikia project hizo mpya za KingKiba, Hakuna hata mmoja
atakayethubutu kumaliza luku yake kusikiliza nyimbo zenye unaijeria,
kiki na promo za kipuuzi.
Sunday, August 28, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment