Burudani >>Ali kiba>> Wasanii wa Bongo Fleva Ambao Wakishirishwa Ngoma Lazima ibambe Mtaani. 2:57 AM jimmy lusekelo Kwa mtazamo wangu nadhani hawa ndiyo wasanii wa bongo fleva ambao wameshirikishwa kwenye nyimbo bila kuharibu na wakati mwingine kuzipaisha ngoma zenyewe. 1.Alikiba. 2.G.Nako 3.Barnaba boy. 4.Rich mavoko. 5.Juma jux 6.Diamond 7.Navy Kenzo
0 comments:
Post a Comment