Muimbaji wa ‘Na Yule’ Ruby amefunguka baada ya mtangazaji wa kipindi cha
Ala za Roho cha Clouds FM, Diva kudai kuwa hamfahamu msanii huyo.
Ruby ameiambia Bongo5 kuwa kauli aliyoitoa mtangazaji huyo anaiona ni
kama utoto. “Naona ni ujinga, I don’t want to talk about it, naona ni
utoto sidhani kama ninaweza kuliongelea hilo.”
“Everybody knows me, so nahisi huo ni utoto tu labda wa kukosa majibu
kwenye maswali ya interview aliyohojiwa. I don’t to talk about her,”
ameongeza.
Pia Ruby amedai kuwa licha ya kuzinguana na uongozi wa THT, bado mambo yanaenda mswano.
“Kutokuwa na mawasiliano mazuri na uongozi wangu wa zamani sijaathirika
kwakweli, sitaki kuliongelea hilo kwa sababu mimi naona kwangu ni kitu
ambacho kimeshapita nataka niongelee vitu ambavyo vinaendelea mbele.
Sidhani kama nina tofauti na wao mimi sijui ila, I don’t talk about
them, at all.”
Inawezekana Diva alitoa kauli hiyo kutokana na Ruby kutokuwa na
mawasiliano mazuri na Clouds Media baada ya kushindwa kuhudhuria kwenye
tamasha la Fiesta lililofanyika Mwanza, August 20 ya mwaka huu.
Saturday, September 10, 2016
Related Posts
UGOMVI wa CUF Wachukua Sura Mpya, Upande wa Lipumba na Maalim Seif Watangaza Kusimamisha Wagombea Kivyao
08 December 2016jimmy lusekelo0BAADA ya Wema Sepetu Kushambuliwa na Mashabiki wa Zari Kuwa Hazai, Aamua Kujibu Mapigo
08 December 2016jimmy lusekelo0CHADEMA wataka Rais Mkapa anyang’anywe shamba kama Sumaye
08 December 2016jimmy lusekelo0Wala Kitimoto Tahadhari: Akutwa na Mnyoo Kwenye Ubongo Wakizani ni Kansa
08 December 2016jimmy lusekelo0
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.