Thursday, September 15, 2016

Unakumbuka Fiesta mwanza wasanii wote watakao tumbuiza walitangazwa ila kuna msanii mmoja alitumbuiza kama bonus au surprise
Hali hiyo ilijitokeza tena jana mjini mombasa ,mwanzo chama cha ODM kilitangaza Diamond atatumbuiza lakini baada ya show yake Alikiba nae alipanda kutumbuiza 
Uongozi wa diamond umeamua kurusha dogo upande wa pili kama ifuatavyo:

0 comments:

Post a Comment