Mwanamziki
wa Jamaica Las Laciano aliyewahi kutamba na nyimbo kadhaa , " ikiwemo
its me against jah" amejichora tatoo ya rais kutokea Africa anayemkubali
, ambaye ni rais wa Tanzania Mh. Dr John Magufuli.
Sababu
ni kuwa ndo rais muwajibikaji, anayeona mbele hatishiwi na matatizo ya
mpito ila anatishiwa na matatizo ya muda mrefu kama rushwa, urasimu na
uzembe kazini.
0 comments:
Post a Comment