Kipindi cha Nyuma Linah sanga aliingia Bifu zito baada ya Kuibiwa Bwana
na Wema Sepetu ambapo alilalamika sana kwenye vyombo vya habari hasa
Radioni... Hivi karibuni Linah na Mpenzi wa Wema Sepetu Idriss Sultan
wanaonekana kuwa na ukaribu usio wa kawaida kiasa kwamba inasemekati eti
ni wapenzi wanapika na kupakuwa kitendo ambacho kinaonyesha ni kama
kulipa kisasi kwa Wema....!! Haya Tuache Movie liendeleeee tutawajuza
zaidi kinachoendelea.......
Home
»
Udaku
» Mwimbaji Linah Amnyakuwa Idriss Sultan Kutoka Kwa Wema Sepetu...Yadaiwa Amelipiza Kisasi
Saturday, September 10, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment