Wapenda Kunyapia nyapia Udaku wa Mastaa wa Bongo wameachwa njia panda
baada ya mastaa Nuh Mziwanda na Shilole kuanza tena kuwa karibu kwa
kupostiana kwenye page zao za mitandaoni, Wawili hao ambao siku za njuma
walikuwa wapenzi wa kupika na kupakuwa waliachana na kila mmoja
kuchukua hamsini zake lakini msimu huu wa Tamasha la Fiesta inasemekana
wamekuwa karibu kutoka na kuwa ni wamoja wapo katika watumbuizaji wa
Tamasha hilo huku wakisafiri mikoa mbali mbali kitu ambacho kimewaweka
karibu zaidi
Nuh Amepost Picha hii katika ukurasa wake wa Instagram:
Baada ya Muda Shilole naye Akajibu Mapigo kwa kuweka picha ambayo
inaonyesha alimpiga Nuhu Mziwanda wakiwa katika Chumba cha Hotel.....
Wajuzi wa Kunyapia nyapia Udaku Wanadai Picha hiyo aliyopost shilole na
kuiifuta inaujumbe mzito ndani yake , Kuwa inawezekana wawili hao huko
walipo kwenye Tamasha wanalala chumba kimoja....
Sunday, September 18, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment