Kuna tetesi, picha na video zimesambaa mtandaoni zinazoonesha ukaribu
kati ya nyota wa muziki wa R&B nchini Marekani, Trey Songz na
Vanessa Mdee, zinazotafsiriwa kuwa huenda wakawa wameenda hatua ya juu
zaidi ya kile walichokuwa wakikifanya Nairobi, Kenya.
Wiki iliyopita, Vanessa pamoja na wasanii wengine takriban 9 wa Afrika,
waliingia studio na Trey Songz kurekodi wimbo kwaajili ya msimu mpya wa
kipindi cha Coke Studio Afrika. Hata hivyo Trey alionekana kuwa karibu
zaidi na Vee Money kiasi cha kuzusha tetesi kuwa huenda Jux akawa
amesalitiwa.
Anasema picha na video hizo zinatafsiriwa vibaya na kwamba yeye na Trey
wamewahi kukutana kabla ya hapo na siku zote amekuwa karibu naye.
“Me and J are 100,” Vanessa ameiambia Bongo5 baada ya kuulizwa kuhusu minong’ono hiyo.
“The video and pictures going around are misinterpreted, I worked for
MTV and had met Trey before, we were cool then and are cool now,”
amesisitiza.
“I respect him [Trey Songz], Juma and all our fans.”
“Being a female artist in Africa, people are always waiting for any
opportunity to tarnish ones image , and disregard years of handwork and
success. Watch this space am about to give them more. Kazi tu,”
ameongeza.
Kwa upande mwingine Vanessa amedai kuwa watu wasubirie kusikia jinsi
wasanii wa Afrika walichokifanya na mshindi huyo wa tuzo za Grammy.
“I can’t wait for you and everyone to hear what we worked on with Trey.
Home
»
Burudani
» Vanessa Mdee Afunguka Kwa Mara ya Kwanza Kuhusu Kutoka Kimapenzi na Trey Songz....
Tuesday, September 27, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment