Habari zilizo chini ya carpet huku Instagram ni kuhusu nyumba mpya ya
mwanamuziki Diamond iliyopo South Africa zinasema kuwa mjengo huo bado
haujalipiwa na uko sokoni kama picha inavyoonyesha hapo. Hivyo si
Diamond wala Zari wana umiliki halali wa hiyo nyumba......
Mdaku Mmoja Huku Instagram Ameandika yafuatayo:
Tzshaderoom
"#roommates nilipost since angalieni post za nyuma nilikuwa wazi.
Inasemekana #zari alikuwa akimkosesha Amani #chibu anunue nyumba south
coz #ivan hamtaki mwanae kwake. Then msg zilizokuwa zinaeleza #zari
atoke ktk nyumba #ivand akazisambaza kisa #mondi kapost nyumba akidai
kuwa kamnunulia zari 😂 guys nilikwisha Sema kigoma hapatoki fala
uzalendo Kwanzaa 🙌 do you think if #mondi hakuwadhibiti na Ile post
yoote yanayo jiri tungeliyajua 🤔 jibu unalo. #zari na #ivan ni business
partners now naomba nifunguke. Zari came in Tz kwa Nia ya kufanya kazi
na #mondi akawazunguka walio kuwa wanandaa kazi hiyo ifanyike akaomba
no. za mondi from mwanadada alioko karibu na binladeni mwanadada huyo
anaandaa kipindi flani hivi cha TV. .
Zari alipopata number akampigia mzee wa kugonga na wakakutana na
akagonga while wandaaji wa business wamewekwa pending na #zari well hapo
Bila kusahau #zari alikuwa bongo kwa niaba ya Sponsor.
.
Why I call everything was well arranged coz #zari alijua what #mondi
wants that time #wema was so sure with him. Hapo katikati aliye tangulia
hotelini akiwa bongo ni siri binafsi ya #zari then baaaam akasema
wamekutana ktk ndege which was a lie walikwisha kutana b4. hatujatulia
baaaam she is pregnant 🤔
.
In btn so much drama zimepita my point is #zari and #ivan knew
everything I mean everything nakuwa kitakacho mkata pembe #mondi ni
mtoto then wafanye Yao. The more wanajifanya hawapo in good terms in
public while ktk Bata njee ya media wapo pamoja is the more my 👃 ilipo
nusa mchezo.
#mondi kama kawafix am proud of him 👏 coz tunaona kabisa how the movie
is going do you think if angelikuwa kanunua huo mjengo kwa mashauzi ya
#zari akisaidiwa na #ivan angelikuja kupambana na #bisandra hale 2 the
NO. Birthday ingelifanyika south ktk mjengo mpya. .
Why am on #mondi side na kumsifu kwa alicho kifanya #mondi ka hustle to
be who he is today so no way to fix him ktk mitego ya kijanja coz Kisha
jaribiwa saana. How many girls wanagongwa in TZ na njee do u think
hawataki kuwa na mtoto wa #mondi 🤔jibu unalo.
#zari take #mondi child support na ukitaka 🏡 chukua funguo 1 kwa
#bisandra ✋ let #mondi B PLS 😩 coz hata Ivan hajakupa 🏡 na umezaa naye
3 "
Monday, September 26, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment