Kama ambavyo wewe umeshtuka, nami nilistuka hivyo hivyo kusikia habari
za chini chini kumhusu huyu jamaa wa Bongo Movie aliyetamba sana miaka
mitatu kurudi nyuma..
Nimekuja kuuliza tu kwa kuwa taarifa nilizopenyezewa na mdau anayeishi mitaa ya kinondoni zinadai jamaa gari limekaribia kuwaka.
Sio habari nzuri kama ni kweli, na naomba Mungu ziwe ni 'fununu' tu, ila
ni vyema wenye taarifa zaidi mkatujuza mbivi au mbichi za fununu hizi
ili tusaidiane kummulika jaama ikibidi na yeye 'apate msaada' mapema
kabla haijawa too late..
I loved his works.. was a big fan.. Hapa Hemed, pale Mlela.. Kanumba
alivyokuwa anawatumia kwa utengano mpk ikawa inaleta ladha kushindanisha
yupi mkali zaidi..
Tuesday, September 13, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment