Baada ya kutoka video ya “Natafuta Kiki” pamekuwa na zengwe, kwa kile
kilichoonekana kuwa ni mahaba juu ya Snura na Rayvanny kwa lile denda
zito lililopigwa kitandani.
Akipiga stori na eNewz Rayvanny amesema “Ni kweli ile scene ya kitandani
ilinipa wakati mgumu sana, hasa ukizingatia ile shepu ya Snura, kuna
wakati nilisahau kama tuko location”.
Lakini kwa upande wa Snura anasema yeye aliifanya ile scene kama kazi
tu, kama ambavyo script ilimtaka afanye ndicho alichokifanya, na wala
hakumtamani Ray.
Snura kwa ujasiri akaongeza kwa kusema “Kama script inataka nimkiss hata mwanangu ninaweza kufanya hivyo”.
Lakini pia kwa upande mwingine Ray alipoulizwa juu ya sababu za kutumia
video aliyojishut na Wema katika birthday ya Romy Jones, alisema “Sina
tatizo kabisa na Wema na tokea zamani nilitamani sana Wema aonekane
kwenye hii video yangu, lakini ilishindikana kumpata sababu ya u-bize
wake hivyo nikaona bora nitumie tu ile video tukiwa kwenye birthday ya
Romy Jones”.
Home
»
Udaku
» Msanii wa Bongofleva Rayvanny Avurugwa na Shepu ya Snura Kitandani Wakati wa Ku-Shoot Video
Monday, September 12, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment