Huu ndio muonekano mpya wa mtindo wa nywele wa kijana Raymond wa
wasafi,kijana anaye hit kwa sasa na ngoma yake ya natafuta kiki, Kwa
Mimi ninavyoona kiukweli kwa muonekano huu wa mtindo wa nywele aliouweka
naona hajapendeza kabisa ni bora angebaki na muonekano wa kawaida
ulikuwa poa sana.
Je wewe unaonaje?
Thursday, August 4, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.