Msanii chipukizi maarufu kwa jina Riser Stardia amefunguka mengi sana kumuhusu msanii chipukizi aliye chini ya label ya WCB .
Riser alisema "kiukweli
kutokana na staili ambayo msanii huyo amekua
akiitumia katika kufikisha ujumbe kwa jamii ni staili ambayo imembeba
japo amekuwa akifata nyendo za mkubwa wake yaani Diamond plutnums,
hivyona tumia nafasi yangu kumshauri msanii huyo kuwa ni kweli game
anaweza ila
anapaswa kubadili staili anayoitumia ili wadau wake waweze kumuelewa
vizuri zaidi."
Nje na hayo msanii Riser anategemea kuachia video yake mpya inayokwenda
kwa jina la 'Nisachi' ambayo kafanya na producer LOLLY POP, kwahiyo dogo huyo
kasema ivi karibuni wadau mkae tayari kuipokea video hiyo mpya.
0 comments:
Post a Comment