Awali kolabo hiyo ya ‘Aje’ akiwa na M.I ilivuja katika mitandao ya
kijamii wakati haijamalizika hali ambayo ilimfanya kuachia original
version yake.
Kwa mujibu wa video ya AliKiba iliyozagaa katika mitandao ya kijamii,
inamuonyesha muimbaji huyo akiwa location Africa Kusini huku
akizungumza project hiyo.
“Tunashoot video, ‘Aje remix’ video nikuwa na M.I,” alisema AliKiba.
Muimbaji huyo ambaye kwa sasa yupo Afrika Kusini, amedaiwa kushoot
video mbili mpaka sasa, moja ya kolabo yake na Barakah The Prince na
nyingine ya kolabo yake na M.I.
0 comments:
Post a Comment