Burudani Mwimbaji Rayvanny Afunguka Haya Baada ya Muonekano Wake Mpya Kuwakwaza Mashabiki Wake 2:04 PM jimmy lusekelo "Nimeona comments nyingi kuhusu rasta nilizoweka lakini naomba watu waelewe kwamba haikuwa style yangu na wala sina mpango wa kufuga rasta nitabaki na style yangu moja tu maana nimeona jinsi nilivyowakwaza mashabiki wangu."- Raymond Nini maoni yako?
0 comments:
Post a Comment