Mfanyabiashara wa nguo ‘Chidi Mapenzi’ yupo mbioni kufunga ndoa na
mwigizaji Shamsa Ford baada ya hivi karibuni kumtolea barua mrembo huyo.
uigizaji huyo alikaririwa na gazeti la Mtanzania akisema kwamba licha ya
kupita katika changamoto za wapenzi wengi, mpenzi wake huyo wa sasa
ndiye aliyeonyesha ushawishi wa hadi kutaka kumuoa.
“Kwa hatua hii najivunia, hadi mwanaume akushawishi muoane huyo ana nia njema na heshima kwangu,” alisema Shamsa.
Thursday, August 4, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.